Picdeer logo Browse Instagram content with Picdeer

#wikiyaazaki2018

Posts tagged as #wikiyaazaki2018 on Instagram

248 Posts

#wikiyaazaki2018 namimi nilikuweko. Kuna anaebisha . .!
Watoa huduma za msaada wa kisheria, Aggrey Mbassaga na Shida wakitoa msaada wa kisheria kwa mwanachi aliyetembelea banda la LSF wakati wa maonyesho ya wiki ya Asasi za kiraia . #wikiyaazaki2018
Wiki ya Asasi za Kiraia imefungwa rasmi leo, mgeni rasmi alikuwa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai. #wikiyaazaki2018
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amefunga Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI kwa mwaka 2018 haliyoadhimishwa Jijini Dodoma kuanzia Oktoba 22 hadi 26 , 2018. Pamoja na Mambo mengine Spika Ndugai ameahidi kufanyia kazi mapendekezo na maazimio yatakayofikishwa ofisini kwake na AZAKI. Maombi hayo yatakayofikishwa kwa Spika ni pamoja na ombi la kutazama upya suala la Upitishwaji wa Miswaada ya Dharula ambayo huminya Fursa ya mjadala Mpana kwa wadau mbalimbali wakiwemo wadau wa AZAKI. Ndugai amepongeza jitihada za AZAKI katika kuingazia Tanzania ya Viwanda ingawa katika mazungumzo yake kwa utani amesema Hajawai kusiki au Ni Nadra kwa AZAKI Kuipongeza Serikali na hajawahi sikia wakiita Wana Habari Kuipongeza Serikali au hata Spika.... #wikiyaazaki2018 #picha/stori @dennismwasalanga #wikiyaazaki2018
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Ludovick Utouh alipotembelea Banda la HakiElimu na kujifunza Kazi za Shirika Hilo pamoja na kupata Baadhi ya Machapisho yanayotokana na Tafiti mbalimbali. Utouh ni mdau wa muda mrefu wa masuala ya utetezi wa Haki na nafasi yake akiwa CAG aliibua masuala mbalimbali ya Uwajibikaji katika mapato na Matumizi ya Pesa za Umma. #wikiyaazaki2018
Asanteni wote mliotembelea banda letu katika wiki ya Azaki za kiraia hapa Dodoma. #wikiyaazaki2018
CSOs Week in Dodoma ends today!! With the Theme "Industrialization Drive: People, Policy & Practice" @una_tz #wikiyaazaki2018#csosweek2018
Leo ni siku ya tano tunamalizia maonyesho yetu ya wiki ya Azaki za Kiraia hapa Dodoma, kama hukupata nafasi ya kupita banda la Msichana Initiative ndani ya siku hizi jitahidi kupita siku ya Leo ili ujue mengi kuhusu kazi zetu za kumkomboa mototo wa kike. #wikiyaazaki2018
Breakfast debate hii ni ya nguvu aisee Mama makinda Mzee utoh Da @rebecagyumi Mwenyekiti wa wahaini @semkae #wikiyaazaki2018
Credit to @_hauledaniel :@Regran from @feminahip - Wiki ya Asasi za kiraia 2018 #wikiyaazaki2018
Spika wa Bunge mstaafu Mh. Anna Makinda pamoja na Bw. Ludovick Utouh CAG mstaafu wakielezea kuhusu uongozi katika Wiki Ya AZAKI 2018. #wikiyaazaki2018 #wikiyaazaki2018
Siku ya 4 ya Azaki 2018: Waziri wa Nishati #tanzania Mh. Medard Kalemani alitembelea banda la @sikikatanzania mjini Dodoma na kujionea shughuli tunazofanya katika #wikiyaazaki2018 #jukwaalauziduaji
Baadhi ya wegeni waliotembelea banda la @sikika1 mjini Dodoma katika Wiki ya Azaki 2018 na kujipatia machapisho ya aina mbalimbali. Karibuni katika banda letu #wikiyaazaki2018 #jukwaalauziduaji
Siku ya tano ya Wiki ya AZKI 2018 : Spika wa bunge mstaafu Mama Anna Makinda na Mheshimiwa Humphrey Polepole akijumuika na wana AZAKI wa Tanzania katika maadhimisho ya Wiki YaAZAKI 2018. #wikiyaazaki2018 “..neno uaminifu ni dogo ila linaweza kukugharimu maisha yako yote..”- Spika wa Bunge mstaafu, Mama Anna Makinda.
Baada ya kupokea maelezo mazuri kutoka kwa Fema Clubbers, mgeni rasmi alikabidhiwa zawadi yake. #wikiyaazaki2018
Credit to @feminahip : Mgeni Rasmi siku ya leo alikuwa ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani. Hapa akipata maelezo kutoka kwa Fema Clubbers wa Mlimwa Secondary na Itega Secondary. #dodomafemaclubsnetwork #csoweek2018 #wikiyaazaki2018
Waziri wa Nishati Medard Matogolo Kalemani Akipokea Baadhi ya machapisho Alipotembelea Banda la HakiElimu katika #wikiyaazaki2018 Jijini Dodoma Oktoba 25, 2018. Waliompa machapisho na maelezo Kuhusu HakiElimu Ni Bi Rose Mwenda Kushoto pamoja na Benedicta Mrema kutoka HakiElimu. #picha#maelezo na @dennismwasalanga
Waziri wa Nishati, Dr. Medard M. Kalemani ateembelea banda la LSF katika wiki ya Asasi za kiraia. #wikiyaazaki2018
Waziri wa Nishati, Dr. Medard M. Kalemani akipokea machapisho ya kazi za msaada wa kisheria kutoka kwa Afisa miradi, Fortunata Kitokesya,alipotembelea banda la LSF katika wiki ya Asasi za kiraia. akishuhudia Christina Motto, Afisa mradi TCC. #wikiyaazaki2018

Loading