Picdeer logo Browse Instagram content with Picdeer

#tokomezazerokisarawe

Posts tagged as #tokomezazerokisarawe on Instagram

544 Posts

#tokomezazerokisarawe @jokatemwegelo @kisarawe_mpya @shalinta_wa_kisarawe @mgolelehamzado
@jokatemwegelo 馃摎馃摎馃摎馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃捇馃懇馃徑‍馃捇馃懇馃徑‍馃捇 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
馃摎馃摎馃摎馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃捇馃懇馃徑‍馃捇馃懇馃徑‍馃捇 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
30.03.2019 #mlimanicity 馃拑馃拑馃拑 patakua hapatoshiiiiiii #tokomezazerokisarawe.. Dada @jokateslays hivi meza yetu ishajaa au tutafute watu wengine au tukae sisi tu 馃槆
30.03.2019 Mlimani City 馃挅 #tokomezazerokisarawe My dada love @jokatemwegelo
Jokate . #tokomezazerokisarawe #mydp
#tokomezazerokisarawe #tokomezazero
Unga mkono johudi za Mhe @jokatemwegelo Kwa kuwa mhasisi wa shule ya wasichana wilayani Kisarawe. Support educational campaign #tokomezazerokisarawe @wemasepetu @sdgaction @usembassytz @yunatz @tonyelumelufoundation @total
#tokomezazerokisarawe @jokatemwegelo
Reposted from @lyndahbrazen - Make friends who can help you Grow I love my friends #tokomezazerokisarawe #mwacheasome #kisaraweyavijana #kisarawempya Book your table now - #regrann
Make friends who can help you Grow I love my friends #tokomezazerokisarawe #mwacheasome #kisaraweyavijana #kisarawempya Book your table now
@jokatemwegelo #tokomezazerokisarawe tar 30.3 save the date 馃檶馃檶馃檶馃檶
#tokomezazerokisarawe @jokatemwegelo
Tunapotembea umbali mrefu kwenda shule huwa tunachoka, Tunakutana na changamoto nyingi njiani, Dc wa Kisarawe anaomba uungane nae kwenye kujenga shule ya bweni kwaajili ya wasichana. #tokomezazerokisarawe @jokateM @KisaraweMpya @ashuramohamed84 @badru_juma_rajabu @VwalaViola @tagoane @silvanusmumba @KARIMMURIRO82 @ELIMIKAWIKIENDI @wizarayaelimu
#tokomezazerokisarawe #tanzaniampya @jokatemwegelo @kisarawe_mpya @mgolelehamzado @suma9662 @suma_athumani @rajabuharufani @tibasultan @msailokidaliadui
#30.03 Mlimani City #tokomezazerokisarawe
Usikubali Kukosa Nafasi Ya Kuwa *Muasisi Wa Shule Ya Kwanza Ya Bweni Sekondari Ya Wasichana Kisarawe* . Na Kupata Chakula Cha Jioni Na Makamu Wa Rais Wa Tanzania Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. cc; Mh @jokatemwegelo . Fanya Booking Ya Meza Yako Sasa Kupitia Number Hizi Tu Sasa Hivi. Meza Zimebaki Chache; 0677062070 TOKOMEZA ZIRO KISARAWE +255 65 613 2676 +255 714 750 183 +255 739 403 048 +255 767 210 405 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya #tanzania馃嚬馃嚳 #mlimanicity #mckalongola
#repost @nafanikiwa_inspiration (@get_repost) 銉汇兓銉 Hapa ni ileeeeee #iwinproject ya shule za sekondari Tanzania leo inatua #jordansekondari #wespeaktoinspire #nafanikiwainspiration #wanafunzi #shule #tokomezazerokisarawe #inspire #beinspired #bemotivated馃槏馃挭 #wazazi #watoto #swipeleft馃憟 @paunajma @nyawanda_jm @jokatemwegelo @kisarawe_mpya @mcpeter_events @charlesligonja @zedekiachonya @nguvuyamentor @godson_brand
Woow,this is awesome ,hongera sana mh.DC @jokatemwegelo @jokatemwegelo.sisi vijana we are super proud of you #tokomezazerokisarawe
Hapa ni ileeeeee #iwinproject ya shule za sekondari Tanzania leo inatua #jordansekondari #wespeaktoinspire #nafanikiwainspiration #wanafunzi #shule #tokomezazerokisarawe #inspire #beinspired #bemotivated馃槏馃挭 #wazazi #watoto #swipeleft馃憟 @paunajma @nyawanda_jm @jokatemwegelo @kisarawe_mpya @mcpeter_events @charlesligonja @zedekiachonya @nguvuyamentor @godson_brand
Umuhimu wa mabweni huondoa muda wa mwanafunzi kutembea kwenda shule, hivyo humpa. Mwanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kujajidi na marafiki zake #tokomezazerokisarawe @joketmwegelo @jokateM @KisaraweMpya @tagoane @silvanusmumba @VwalaViola @jaliluzaid@yose_hoza @jaliluzaid @badru_juma_rajabu @ELIMIKAWIKIENDI @badrujumah
Usikubali Kukosa Nafasi Ya Kuwa Muasisi Wa Shule Ya Kwanza Ya Bweni Sekondari Ya Wasichana Kisarawe Na Kupata Chakula Cha Jioni Na Makamu Wa Rais Wa Tanzania Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Fanya Booking Ya Meza Yako Sasa Kupitia Number Hizi Tu Sasa Hivi. Meza Zimebaki Chache; 0677062070 TOKOMEZA ZIRO KISARAWE +255 65 613 2676 +255 714 750 183 +255 739 403 048 +255 767 210 405 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya Cc @jokatemwegelo @jokatemwegelo
Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya #globalpublishers
Usikubali Kukosa Nafasi Ya Kuwa Muasisi Wa Shule Ya Kwanza Ya Bweni Sekondari Ya Wasichana Kisarawe Na Kupata Chakula Cha Jioni Na Makamu Wa Rais Wa Tanzania Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Fanya Booking Ya Meza Yako Sasa Kupitia Number Hizi Tu Sasa Hivi. Meza Zimebaki Chache; 0677062070 TOKOMEZA ZIRO KISARAWE +255 65 613 2676 +255 714 750 183 +255 739 403 048 +255 767 210 405 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya Cc. @jokatemwegelo @esilovey1 @aminamosess @malika_designer
Happy birthday Mkuu @jokatemwegelo,,Mungu akupiganie kwenye kila jema ulianzishalo lipate kibali kutoka kwake,be strong..kisarawe inakutazama wewe na ndo driver,na wanaamini wanakuwa salama zaidi wakiwa na wewe unaowaonyesha njia mpya ya kujikwamua kutoka kwenye kila mkwamo..kiuchumi,kielimu,sekta ya afya na mambo ya maendeleo kiujumla.. #onyeshanjiakisarawe #hiisasandokisarawe #naionakisarawempya #jokatemwegelo #jokatekisarawe #kisarawe #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #youngleader GOD BLESS U.
Fanya Booking ya Meza yako sasa kupitia @ley_home_hotel_appliance @ley_jewellers Usikubali kukosa Nafasi Hii #tokomezazerokisarawe#kisarawempya#tanzaniampya @jokatemwegelo @ley_home_hotel_appliance
I first Bless the Lord JESUS our GOD for the gift of your life. I also thank GOD for the opportunity he give us to serve the community of Kisarawe together. You're such a True Leader who believes in her Dreams you are such a Beautiful soul that everyone wishes to be around where you are. You're so humble and dear to everyone comes your way. Well, as you add up another year may you experience highly spiritual dimensions in your life, Favour be your portion, and the Bible says in *1 Pet 1:5* "And you are protected by the power of God through faith until salvation is ready to be revealed in the last time". May you be Protected, I celebrate you and i love you so much. Happy Birthday Mh @jokatemwegelo @kisarawe_mpya #tokomezazerokisarawe
Hbd mh comred#@jokatemwegelo Mungu akujalie kila lililo jema #tokomezazerokisarawe #bosslady #@ccmsupporters #@ccmtanzania #@uvccm_tz #@uvccm_udsm #@jabiri87makame #@msuva27_fanpage
#repost from @jokatemwegelo (@repost_media_app) Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Ameandika Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo "Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa Mabinti Wetu! #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya"
Happy birthday @jokatemwegelo Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya credit: @joketimwegelo
Reposted from @jokatemwegelo - Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya - #regrann
Happy birthday @jokatemwegelo #kiongozimtumishiutumishikwanza #kisarawempya #tokomezazerokisarawe #mataga
Dat is my baby love from @jokatemwegelo - Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya - #regrann
Wengi wananiuliza wanipe zawadi gani kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Mimi naomba kwenu nyote kwa unyenyekevu mkubwa zawadi yangu iwe tukutane tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City tushirikiane katika kuwekeza kwa watoto wetu, Vijana wa Kike. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kushiriki na kununua meza au kutoa mchango tuwasiliane kupitia number hizi 0677062070 Tokomeza Ziro Kisarawe au +255 65 613 2676. Karibuni Sana. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Studies show that each completed year of secondary school increases a woman's income by 25% I stand with you @jokatemwegelo in ensuring that barriers holding back girls from attaining education are removed #learningforall #educateher #tokomezazero #tokomezazerokisarawe Once again, wishing you more joy, peace and love, Happy Birthday Mheshimiwa Jokate.
Uongozi wa Bombatv_Online inakutakia heli ya siku yako ya kuzaliwa dc wa kisarawe @joketi_kisarawe #tokomezazerokisarawe
Happy birthday Mh.@jokatemwegelo Mungu azidi kukulinda na kukutia nguvu ktk mipango na mikakati ya kuibadilisha wilaya ya kisarawe mapambano ndo Kwanzaa yameanzaaa pambanaa kadri ya uwezo wako maana dunia ya sasa nibora ukaacha kumbukumbu itakayo ishi milele ambayo itafanya uwe na heshima ya kudumu hapa duniani #kisarawempya #tokomezazerokisarawe BE STRONG ON WHAT U DO But GOD must be your first choice HAPPY BIRTHDAY TO U @jokatemwegelo be blessed mamaaaaaaa馃檹馃檹馃檹馃檹
Happy birthday Madam DC.... Much appreciation #tokomezazerokisarawe, @jokatemwegelo
Birthday Girls 鉂も潳 More Blessings, More Happiness 馃檹 Happy birthday my baby sister @kamido_platnumz Happy birthday Mh./leader/ Boss @jokatemwegelo 馃巶 One Week and 3 days to the big event #tokomezazerokisarawe #kisarawempya 30/3
Zaburi ya 113 na ikatawale katika siku yako hii, kwa muda mfupi umefanya Mambo mengi na makubwa. Titu, kisangire, msanga,kitonga, chole,mzenga, chakenge wajivunie kitu gani kingine?? Heri ya siku ya kuzaliwa @jokatemwegelo #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @bekamipango
Wednesday March 20th, 2019. Kheri ya kuzaliwa Ndgu comrade Mkuu wa wa wilaya ya kisarawe Mkoani Pwani, Jokate Mwegelo. Kila la Kheri kwenye uwajibikaji wako, wa Maendeleo ya kisarawe, kuendelea Ku- #tokomezazerokisarawe . #happybirthday DC. . . #kisarawe #kisarawempya #vijanajeuriyachama #hapakazitu #tukutanekazini #mumena_the_great
#repost @jokatemwegelo with #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya馃敟馃敟馃敟kheri ya siku ya kuzaliwa Muheshimiwa @jokatemwegelo ,Mungu akusimamie ktk kila jukumu lako la kujenga Taifa.binafsi Nakupenda sana sana kwa uchapakazi na ubunifu wako wa kutokomeza zero na mengine mengi unayofanya Kisarawe.馃憦馃憦馃憦馃挭馃檹
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Mh @jokatemwegelo mkuu wa wilaya ya @kisarawe_mpya mungu akupe maisha marefu kwa manufaa ya yako na taifa kwa ujumla. #happybirthday #jokatemwegelo #tokomezazerokisarawe
Happy Birthday sis Jojo ♥锔♥锔 You have been an inspiration to all us young women in Tanzania. May the Lord keep blessing you and protecting you always #womenofsteal #beautywithbrain #kisarawempya #kisaraweyajokate #kisaraweyavijana #tokomezazerokisarawe
Look at you now. So wonderful and smart young woman. Keep your confidence up high, but do not be arrogant. It is important that you stay humble all the time. We are always here to support you. Keep on going..!! . ' HAPPY BIRTHDAY Mh. @jokatemwegelo @jokatemwegelo . . #kisarawempya #tokomezazerokisarawe
#tokomezazerokisarawe Ewe Mtanzania mwenye kuguswa na namna watoto wa kike wanavyotabika kwa kuishi mbali na mazingira ya shule. Ewe Mtanzania unaetambua kuwa hali ya kuishi umbali wa zaidi ya kilometa 7 kutoka ilipo shule husababisha wanafunzi wa kukutana na vishawishi mbalimbali. Tunakuomba ushiriki wako katika #tokomezazerokisarawe siku ya tarehe 30/03/2019 pale Mlimani City. #kisarawempya #tokomezazerokisarawe @samia_suluhu_hassan @samiasuluhu @jokatemwegelo @kisarawe_mpya
Happy birthday mpambanaji WA #kisarawempya #tokomezazerokisarawe @jokatemwegelo Allah akujalie maisha mema na yenye mafanikio tele !!
Reposted from @jokatemwegelo - Welcome Back Kiongozi DAS Kisarawe Mtela Mwampamba-. Hapa Kazi Tu!!!! Nimefurahi kukutana na old classmate from ST days, my brother @musakipanya akinihoji leo @efmtanzania #tokomezazerokisarawe #kisarawempya
Welcome Back Kiongozi DAS Kisarawe Mtela Mwampamba-. Hapa Kazi Tu!!!! Nimefurahi kukutana na old classmate from ST days, my brother @musakipanya akinihoji leo @efmtanzania #tokomezazerokisarawe #kisarawempya
Reposted from @jokatemwegelo - Naomba sekunde zako 60 tu upate kufahamu juu ya mpango wetu wa #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya - #regrann
from @jokatemwegelo - Naomba sekunde zako 60 tu upate kufahamu juu ya mpango wetu wa #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya - #regrann
Naomba sekunde zako 60 tu upate kufahamu juu ya mpango wetu wa #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya
鉂も潳鉂も潳鉂も潳#Repost @jokatemwegelo (@get_repost) 銉汇兓銉 30.03.2019 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Reposted from @efmtanzania - "Namshukuru sana Kaka @majizzo amekuwa ni mtu ambaye anatusaidia sana sisi kama vijana wenzake kutimiza malengo yetu".- @jokatemwegelo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe #jotolaasubuhi #tokomezazerokisarawe #kisarawempya - #regrann
Reposted from @efmtanzania - “Tarehe 30 mwezi huu tutafanya hafla yetu kwenye ukumbi wa Mlimani City lengo likiwa ni kukusanya fedha zitakazotuwezesha kujenga shule yetu ya kwanza ya bweni ya sekondari ya wasichana. Kuanzia mwaka 2014 hadi mpaka 2017 wasichana waliomaliza kidato cha nne kwa ujumla wake ni 4880 lakini waliomaliza kidato cha 6 ni 66 tu, Kuna zile tamaduni za kuwaandaa mabinti kufikiria ndoa na kupata mimba ambazo ndizo hizo tunataka kuzikomesha”.- @jokatemwegelo #jotolaasubuhi #tokomezazerokisarawe #kisarawempya - #regrann
Reposted from @efmtanzania - "Nilikutana na jukumu la kuhakikisha wanafunzi wanaofanya mtihani wao wa mwisho kwa maana ya 'form four' wanakaa kwenye kambi ambapo serikali inawahudumia. Tukafanya harambee mwezi wa tisa na kwa kiasi kikubwa ilibebwa na E-Fm. Kupitia kambi ile kwa mara ya kwanza Wilaya ya Kisarawe imepata wanafunzi walioapata daraja la kwanza 37 kutoka 7 wa mwaka uliopita".- @jokatemwegelo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe #jotolaasubuhi #tokomezazerokisarawe #kisarawempya - #regrann
Reposted from @jokatemwegelo - Leo Asubuhi Kwa Ndugu Zangu @efmtanzania @tvetanzania Asante @choicefashiontz #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya - #regrann
from @jokatemwegelo - Leo Asubuhi Kwa Ndugu Zangu @efmtanzania @tvetanzania Asante @choicefashiontz #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya - #regrann
Reposted from @jokatemwegelo - 30.03.2019 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya - #regrann
from @jokatemwegelo - 30.03.2019 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya -
30.03.2019 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Leo Asubuhi Kwa Ndugu Zangu @efmtanzania @tvetanzania Asante @choicefashiontz #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya credit: @jokatemwegelo
Leo Asubuhi Kwa Ndugu Zangu @efmtanzania @tvetanzania Asante @choicefashiontz #tokomezazerokisarawe #kisarawempya @kisarawe_mpya
馃挭馃挭 Reposted from @jokatemwegelo - 鈥猈ote Tukutane Tarehe 30-03-2019 Maelezo Zaidi Kufuata Ni Nini Tutafanya Kwa Pamoja 鈽猴笍 鈥#TokomezaZeroKisarawe #kisarawempya #tanzaniampya #tanzania #commemoratingwomen #balanceforbetter #iwd2019 鈥 - #regrann
馃挭馃挭馃挭 my all time bae @jokatemwegelo #tokomezazerokisarawe
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh @jokatemwegelo akishea taarifa fupi ya mafanikio ya kampeni ya Tokomeza Ziro na mpango wa ujenzi wa shule ya sekondari ya bweni ya wasichana Wilayani Kisarawe. #edigitalupdates #tokomezazerokisarawe #kisarawempya
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh @jokatemwegelo akishea taarifa fupi ya mafanikio ya kampeni ya Tokomeza Ziro na mpango wa ujenzi wa shule ya sekondari ya bweni ya wasichana Wilayani Kisarawe. #edigitalupdates #tokomezazerokisarawe #kisarawempya
“Tarehe 30 mwezi huu tutafanya hafla yetu kwenye ukumbi wa Mlimani City lengo likiwa ni kukusanya fedha zitakazotuwezesha kujenga shule yetu ya kwanza ya bweni ya sekondari ya wasichana. Kuanzia mwaka 2014 hadi mpaka 2017 wasichana waliomaliza kidato cha nne kwa ujumla wake ni 4880 lakini waliomaliza kidato cha 6 ni 66 tu, Kuna zile tamaduni za kuwaandaa mabinti kufikiria ndoa na kupata mimba ambazo ndizo hizo tunataka kuzikomesha”.- @jokatemwegelo #jotolaasubuhi #tokomezazerokisarawe #kisarawempya
"Nilikutana na jukumu la kuhakikisha wanafunzi wanaofanya mtihani wao wa mwisho kwa maana ya 'form four' wanakaa kwenye kambi ambapo serikali inawahudumia. Tukafanya harambee mwezi wa tisa na kwa kiasi kikubwa ilibebwa na E-Fm. Kupitia kambi ile kwa mara ya kwanza Wilaya ya Kisarawe imepata wanafunzi walioapata daraja la kwanza 37 kutoka 7 wa mwaka uliopita".- @jokatemwegelo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe #jotolaasubuhi #tokomezazerokisarawe #kisarawempya
Sauti ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh @jokatemwegelo itakuamsha kwenye #jotolaasubuhi la @efmtanzania kesho March 19. Ungana nae kwa kumuuliza maswali kwenye kurasa za @efmredio. Pia ataeleza mipango yake sekta ya elimu hasa kuhusu #tokomezazerokisarawe!
Katika harakati za kusaidia ujenzi wa bweni la wasichana Kisarawe, chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo @jokatemwegelo, anakukaribisha kwenye #charitygalaawardnight, siku ya Jumamos ya tarehe 30 mwezi huu #mlimanicity kwanzia saa 12 Jioni. Mgeni rasmi atakuwa mama yetu Mh Samia Suluhu Hasan (@samia_suluhu_hassan) Makamu wa Rais Tanzania. Kwa mawasiliano chek nasi kupitia 0677 062 070, 065 6132676.Tuwape wasichana nafasi ya kusoma, #tokomezazerokisarawe, #tokomezazero
@jokatemwegelo #tokomezazerokisarawe
Reposted from @jokatemwegelo - Namshukuru Ndugu Sam Kamanga Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika La Bima La Taifa(NIC) kwa kuwa sehemu ya mpango wetu wa #tokomezazerokisarawe .... Wewe unasubiri nini? Njoo uwe sehemu ya historia uwe muasisi wa shule yetu ya kwanza ya wanafunzi wasichana Tarehe 30/03/2019 #kisarawempya #tanzaniampya - #regrann
Karibu Ushiriki Tarehe 30/03/2019 Fanya Booking Ya Meza Yako Sasa- nafasi ziko chache. Ni sehemu ya kukutana na watu tofauti- ku-network, kuchangia na kujua nini serikali ya Kisarawe inafanya kwa ajili ya watu wake. #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Namshukuru Ndugu Sam Kamanga Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika La Bima La Taifa(NIC) kwa kuwa sehemu ya mpango wetu wa #tokomezazerokisarawe .... Wewe unasubiri nini? Njoo uwe sehemu ya historia uwe muasisi wa shule yetu ya kwanza ya wanafunzi wasichana Tarehe 30/03/2019 #kisarawempya #tanzaniampya
#tokomezazerokisarawe
"Usikubali Kukosa Nafasi Ya Kuwa Muasisi Wa Shule Ya Kwanza Ya Bweni Sekondari Ya Wasichana Kisarawe Na Kupata Chakula Cha Jioni Na Makamu Wa Rais Wa Tanzania Mama Yetu Samia Suluhu Hassan" #truestory: Jokate Mwegelo ni mwigizaji wa filamu, mjasiriamali na mwanasiasa kutoka nchini Tanzania.Mwezi Julai 2018 aliteuliwa na Rais.Dkt John Pombe Magufuli kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Jokate vilevile alikuwa mtangazaji na mwimbaji,Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Kidoti Company. Kuzaliwa: 20 Machi 1987 Mahali alikozaliwa: Washington, Marekani Elimu: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Miaka ya kazi: 2006-hadi sasa Wazazi: Benadertha Ndunguru #tokomezazerokisarawe Moja Kati ya kampeni Ambayo imeanzishwa na DC @jokatemwegelo Kwa lengo la kuinua ufaulu wa wanafunzi kwa level za primary pamoja secondary Kampeni hiyo imependwa Sana na watu wengi kutokana na kuhamasisha Sana Watoto Wa kike kusoma kwa bidii. #tokomezazerokisarawe kupitia kampeni hii DC @jokatemwegelo kaendelea kulivalia njuga swala la Elimu na kuamua kuanzisha kampeni Ambayo itasaidia kuleta shule ya bweni ya wasichana katika wilaya ya kisarawe. #pongezikwake #jokate #tokomezazerokisarawe ____________________________________________ Proudly sponsored by @easybuyafrica
Mabinti zeti wanatembea umbali wa kilometa 10-15 kwenda na kurudi hivyo inawafanya wasipate motisha hata kufanya vizuri wakiwa shuleni @jokateM Ukiwa kama mdau wa Elimu karibu, uungana DC wa Kisarawe kujenga shule ya bweni kwaajili ya wasichana #tokomezazerokisarawe @KisaraweMpya
Karibuni tujumuike pamoja kuchangia Elimu Bora kwa mtoto wa Kike wa Kisarawe. #kisarawempya #tokomezazerokisarawe
Mkuu wilaya ya Kisarawe DC @jokatemwegelo kazungumza kuhusu ujenzi wa shule ya kwanza ya wasichana ya BWENI KISARAWE #tokomezazerokisarawe #hapakazitu #kisaraweyamaendeleo

Loading