Picdeer logo Browse Instagram content with Picdeer

@pichazasimu

pichazasimu

pichazasimu

Lengo letu ni kuziwezesha simu πŸ“² zenye kamera kuwa mbadala wa DSLR nchini. Watanzania zaidi ya Mil. 20 wenye simu wana dhati ya picha πŸ–Ό Tag/Follow

 • 1K Total Likes
 • 23 Tot. Comments
1. @vincent_willz πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½ (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
2. @Kaghz_Jr (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
3. @AziiLy (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
4. @niMFEDE (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
5. @hakily_ (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
6. @Smauki (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
7. @ShussaJane (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
8. @Karuhawe (10 bora twitter) #px30august #pichazasimu
9. @calvin_25k (10 bora Twitter) #px30august #pichazasimu
10. @MGAMBILWA (10 bora Twitter) #px30august #pichazasimu
Mtag na mpongeze utakayemuona. Hawa ndiyo waliotengeneza 10 Bora ya #px30 ya mwezi August. Fuatana nasi katika mabandiko yajayo. #pichazasimu #px30august
25. DIASPORAS: Kipengele hiki ni maalum kwa picha bora zilizopigwa na watanzania ughaibuni. Kipengele hiki kaendelea kushikilia @mwanyiroz Rejea picha zake.
24. DSLR VISITANT: Kipengele maalum kinachohusisha mpiga picha bora aliyepiga kwa ‘digital camera’ na kutushirikisha jukwaani (mgeni wetu). Kipengele hiki kachukua @mazupixel. Rejea picha zake!
23. MASTER OF GENRES: Kipengele maalum kinachohusisha mshiriki mwenye picha zenye sifa za kuingia takribani katika vipengele vyote vilivyoshindanishwa. Kipengele hiki alibeba @hakily_ πŸ™πŸΎ. Rejea picha zake Twitter.
21. AGRO-SHOTS: Kipengele kinachohusisha picha zinazohusiana na masuala ya kilimo/mashamba. Kipengele hiki alishinda: @mycal_clement Rejea picha zake Twitter.
20. UNDERWATER: Kipengele kinachojumuisha picha zilizopigwa chini ya maji (baharini, ziwani, mtoni nk). Kipengele hiki kaendelea kushikilia @ikhalidy Rejea picha zake Twitter.
19. MARINE: Kipengele kinachohusisha picha zilizopigwa juu ya uso wa maji (baharini, ziwani, au mtoni). Kipengele hiki alibeba: @Abbymexahnk @ShomarySoud @xandacage @Karuhawe Rejea picha zao Twitter.
18. INTERIOR SHOTS: Ni kipengele kinachojumuisha picha zilizopigwa ndani ya mijengo/nyumbani. Kipengele hiki alishinda: @maxurio Rejea picha zake.

Loading