Picdeer logo Browse Instagram content with Picdeer

@mr__berries

MR. BERRIES FARM & PRODUCTS πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

mr__berries

Tunauza matunda #organic na miche yake, Kwa jumla na rejareja mikoani tunatuma kwa bus; Call/WhatsApp 0714506037 Elimu ya kilimo ni bure πŸ‡πŸ“πŸŠπŸπŸŒΏ

  • 458 Total Likes
  • 37 Tot. Comments
πŸ‡πŸ“
Vile Strawberry Zinadamshi mpaka madukani πŸ“ Kwa mahitaji ya mtunda haya wasiliana nasi call/sms/whatsapp 0714506037 na 0755039725 πŸ“ Tunafanya delivery mikoa yote Tanzania πŸ‡ Pia tufollow @mr__berries @mr__berries πŸ‡ #organic #strawberries #agribusiness #instaprenuerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Tuna njia nyingi sana za asili za kufukuza wanyama waribifu wa matunda kama Ndege na Kima pamoja na Jamii zote za Nyani πŸ“ Hio ni njia moja wapo yakufukuza wanyama waribifu wa mtunda ila kuna njia ya kutundika CD zinatoa mng'ao unaowaogopesha wanyama hao na kuna njia ya kuweka sanamu kuogopesha wanyama hao πŸ“ Changamoto zipo katika kilimo cha open field ila mbinu mbali mbali tunazibuni kupambana na wanyama waribifu wa matunda yetu πŸ“ Changamoto za wadudu kama mchwa na jongoo walao matunda pia zipo ila tunakabiliana nazo kwa kupulizia dawa asili mfano tunaponda majani ya mwarobaini nakuchanganga na maji kidogo kisa tunapulizia, pia tunaponda kitunguu swaumu, vile vile mkojo wa sungura ni dawa nzuri mnoo yakufukuza wadudu waribifu shambani πŸ“ Changamoto ingine kubwa sanaa kwa kilimo cha open field ni mvua kubwa sinasababisha matunda kuharibika shambani na ukungu nao unazuia jua inapunguza sanaa kiwango cha uzalishaji wa matunda hasa miezi hii ya masika πŸ“ Elimu kwetu ni bure kabisaa hili ni jukwaa la kuelimishana nje ya biashara wasiliana nasi piga/whatsapp 0714506037 na 0755039725 ukielimika share na mwenzio uelimike pia kama una maswali weka comment yako katika post zetu na tufollow @mr__berries kupata updates zaidi juu ya kilimo cha berries πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡ Kwa mahitaji wa miche usisite wasiliana nasi elimu narudia tena ni buree kabisaa na tutafatilia maendeleo ya shamba lako na kusikiliza changamoto zako kwa pamoja tutazitua #kilimohai #instaprenuerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Thank You Lord
GO HARD or GO HOME πŸ’ͺ πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡ Tunapokea oda nakusafirisha mikoa yote Tanzania πŸ“ Huduma zetu zitakufikia popote pale ulipo πŸ“ Tunazo berries (strawberry, blackberry, raspberry, mulberry na goldwnberry) pamoja na miche yake πŸ“ Elimu ya kilimo ni bure kabisa kwa wateja wetu wote wa miche πŸ“ Kwa mawasilino zaidi tupigie/SMS/Whatsapp 0714506037 na 0755039725 πŸ“ Follow us @mr__berries @mr__berries @mr__berries πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡ #strawberry #blackberry #raspberry #mulberry #goldenberry #morogoro #tanzania #instaprenuerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Team Work πŸ’ͺ ................................................................................... Tunayo miche ya berries: 1) Strawberry 2) Blackberry 3) Raspberry 4) Mulberry 5) Goldenberry ************************************************** Pia tuna miche ya Herbal: 1) Mint 2) Rosemarry ................................................................................. Wasiliana nasi piga / whatsapp namba 0714506037 na 0755039728 ________________________________________________ #strawberries #blackberries #mulberries #gooseberries #raspberries #mint #rosemarries
@mr__berries πŸ‡πŸ“
Tunapokea oda nakusafirisha mikoa yote Tanzania πŸ“ Huduma zetu zitakufikia popote pale ulipo πŸ“ Tunazo berries (strawberry, blackberry, raspberry, mulberry na goldwnberry) pamoja na miche yake πŸ“ Elimu ya kilimo ni bure kabisa kwa wateja wetu wote wa miche πŸ“ Kwa mawasilino zaidi tupigie/SMS/Whatsapp 0714506037 na 0755039725 πŸ“ Follow us @mr__berries @mr__berries @mr__berries πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡ #strawberry #blackberry #raspberry #mulberry #goldenberry #morogoro #tanzania #instaprenuerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Mteja wetu toka Katavi Dada Josephine, alionesha udhubutu hakika ameweza πŸ“ Ni zamu yako sasa kudhutubu hakika utaweza πŸ“ Elimu ya kilimo kwetu ni bure kwa wateja wetu wote wa miche πŸ“ Tutaendelea kushirikiana na wewe kama mteja mpaka utapopata matokeo chanya katika project yako πŸ“ Tunayo miche ya Berries na Herbal (mint na rosemarry) pamoja na plastic pots za kupandia miche na maua πŸ‡ Wasiliana nasi piga/sms/whatsapp 0714506037 na 0755039725 πŸ‡ Tunafanya delivery mikoa yote Tanzania πŸ‡ Follow us @mr__berries @mr__berries πŸ‡ #kilimohai #kilimobiashara #instaprenuerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
@mr__berries πŸ‡πŸ“
Dessert and Shake πŸ“
πŸ“Miche ya Berries pamoja na Plastic Pots vyote vinapatikana kwetu, bila kusahau ushauri kwetu ni bure kabisa juu ya kilimo cha berriesπŸ‡ - Plastic Pots 50 kwa elfu 30 tu - Mche moja kwa 2000 tu - Karibuni sanaa ................................................................................... Tunayo miche ya berries: 1) Strawberry 2) Blackberry 3) Raspberry 4) Mulberry 5) Goldenberry ************************************************** Pia tuna miche ya Herbal: 1) Mint 2) Rosemarry ................................................................................. Wasiliana nasi piga / whatsapp namba 0714506037 na 0755039728 ________________________________________________ #strawberries #blackberries #mulberries #gooseberries #raspberries #mint #rosemarries
Happy Women's Day to All Mother's and Sister's πŸ“
The Beauty and Power of Strawberry πŸ“
Miche ya Rosemarry na Mint 🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿 Tunayo miche ya berries: 1) Strawberry 2) Blackberry 3) Raspberry 4) Mulberry 5) Goldenberry ************************************************** Pia tuna miche ya Herbal: 1) Mint 2) Rosemarry ................................................................................. Wasiliana nasi piga / whatsapp namba 0714506037 na 0755039728 ________________________________________________ #strawberries #blackberries #mulberries #gooseberries #raspberries #mint #rosemarries
Appreciation toka kwa wateja wetu πŸ“ Tunashukuru sana kuona huduma zetu zinawaridhisha @umbrellajuicebar πŸ“ Kama una biashara ya Juice, Desserts, Bakery na kadhalika @zananajuice @makjuice_tz πŸ“ Usisite kuwasiliana nasi whatsapp 0714506037 huduma zetu zitakifikia popote pale ulipo Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
je,  wajua strawberry zinavirutubisho vingi vinavyoweza pambana na mambukizi ya kansa na kukufanya uonekane kijana muda wote? πŸ“ follow @mr__berries @mr__berries πŸ“ Call/SMS/WhatsApp 0714506037/0755039725 πŸ“ #strawberries  #strawberriesfordays  #strawberycake #strawberrymilkshake  #strawberrysmoothie  #strawberryjuice #strawberryjam #strawberryperfume #pregnancyjourney #strawberryoil #strawberry #morogoro #tanzania #instaprenuerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Miche ya Rosemarry 🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿🌿 Tunayo miche ya berries: 1) Strawberry 2) Blackberry 3) Raspberry 4) Mulberry 5) Goldenberry ************************************************** Pia tuna miche ya Herbal: 1) Mint 2) Rosemarry ................................................................................. Wasiliana nasi piga / whatsapp namba 0714506037 na 0755039728 ________________________________________________ #strawberries #blackberries #mulberries #gooseberries #raspberries #mint #rosemarries

Loading