Picdeer logo Browse Instagram content with Picdeer

@jokatemwegelo

Jokate Mwegelo

jokatemwegelo

U.R.T President鈥檚 Office | District Commisioner Kisarawe | UDSM Alumni | Proud Citizen of the United Republic of Tanzania | Servant of the People. 馃嚬馃嚳

 • 310K Total Likes
 • 6K Tot. Comments
Proudly Tanzanian. Raha Kuwa Mtanzania馃嚬馃嚳 Thank you @esilovey1 @brooklynsdenimstore 馃憱
@perfectcrispin aliniuliza leo kabla ya mechi ngapi leo? Nikamwambia 3 馃 #afconnizamuyetu2019
Kabla ya mechi tulitabiri leo tunafunga 3-0. Na Imetimia!!! Tunamshukuru Mungu!!! Hongera Tanzania Mara Ya Mwisho Tanzania kufuzu ilikuwa chini ya Rais Julius Kambarage Nyerere. Leo tumefuzu chini ya Jemedari John Pombe Magufuli. Tunawashukuru sana Awamu ya Tano kwa kuendelea kuinua Michezo Tanzania. 馃挭馃徑馃嚬馃嚳 #tanzaniampya
Sema Tanzania Oyoooooo #afconnizamuyetu2019 馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳
Mheshimiwa mara moja moja kudamshi si inaruhusiwa ndugu zangu? #afconnizamuyetu2019 #kiongozikijana #tanzaniaoyee 馃嚬馃嚳
馃摎馃摎馃摎馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃帗馃懇馃徑‍馃捇馃懇馃徑‍馃捇馃懇馃徑‍馃捇 #tokomezazerokisarawe #kisarawempya #tanzaniampya
Kuna mstari kwenye Biblia Yeremia mwenye kujua huo mstari autaje. Mwenyezi Mungu aliniambia neno; kabla hujachukuliwa mimba mimi nilikujua na kabla hujazaliwa nilikuwekea wakfu; nilikuteua uwe nabii kwa mataifa. Jisikie fahari Mungu ameshakuwekea fungo lako. Ameshaujua mwanzo na mwisho wako. Riziki yako haiwezi kuibwa na mtu mwingine wala mafanikio ya mtu mwingine hayawezi kuzuia mafanikio yako. Jiamini. Cha muhimu palilia bustani yako, chota na uvune baraka zote Mungu alizokuandalia. Usipoteze muda kuhangaika na baraka za mtu mwingine, kumsema, kumuonea wivu au kuona yeye pengine ana zaidi kuliko wewe nawewe si lolote. Busara ya Mungu inashinda busara zote za kibinadamu. Mtegemee yeye zaidi na muangalie Mungu zaidi kuliko binadamu utashangaa jinsi gani maisha yako yatakuwa na amani, furaha na mafanikio. Hata mauzi, changamoto za hapa na pale hazitakusumbua kwasababu unatambua Mungu anakuwazia mema kila wakati na mipango yake juu yako ni ya kukufanikisha. Nawatakia Jumamosi Njema. Usikate tamaa, usijichukulie poa, usitamani vya wengine kwa kusononekea vyako, chukua kama sehemu ya kujifunza na kuwa bora zaidi. Mungu Anakupenda!! Amina 鉂わ笍
Happy Birthday to you twins 鈽猴笍鈽猴笍鈽猴笍鈽猴笍. Wishing you all the best, luck, love and success you could ever imagine and more. 鉂わ笍鉂わ笍鉂わ笍鉂わ笍 @luludivatz @martinkadindaofficial na karibuni Kisarawe 馃
鈥狶eo asubuhi wanajumuia Mt. Faustina wa Mtaa wa Bomani- majirani zangu huku Kisarawe walikuja kusali nyumbani. Walifika pia viongozi wa kanda na parokia. 鈥 鈥狽ilifurahi kuona vijana wengi na watoto wameshiriki sala hii asubuhi. 鈥 @kisarawe_mpya
Jana nikiwa na Mkuu wa kikosi Regiment 83 Kanali Mwakisole ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kisarawe baada ya kunialika kufanya ziara kwenye sehemu yake ya kazi. Pia nilipata muda wa kutembelea Zahanati ya 83 Rgt ambacho kinahudumia wananchi takribani mia nne kwa mwezi. Nimewaahidi kuwaletea kitanda cha kujifungulia akina mama na vifaa vingine kwa ajili ya akina mama wanaojifungua kwenye zahanati hii. Pia nilishiriki upandaji wa miti. Nimeweka utaratibu we kutembelea wajumbe wote wa KUU katika maeneo yao ya kazi kama sehemu ya kudumisha umoja na mshikamano wetu kama viongozi wa wilaya #kisarawempya #tanzaniampya @kisarawe_mpya
Asanteni Wote Kwa Birthday Wishes Zenu. Nawapenda Sana 鉂わ笍

Loading